Anza Mwaka kwa kuwabariki wenye shida na kumshukuru Mungu kwa uzima ulio nao ambao hustahili.... Daudi Mmasy kama unavyomuona alipata uvimbe mguuni ikabidi akatwe mguu katika Hospital ya KCMC Moshi, lakini tatizo bado linamuandama na sasa amepata tena uvimbe na anatakiwa kukatwa tena mguu huko huko KCMC....
Anatuomba tumsaidie kwani anapata maumivu makali sana kutokana na hayo mauvimbe.... Kinahitajika kiasi cha Milioni moja na laki mbili Kwa ajili ya Upasuaji na Kitanda pale KCMC, nami nakuja kwenu kuomba tuungane pamoja kumsaidia huyu ndugu yetu ili aweze kufanikisha huo upasuaji na aweze kupona....(usidharau miguu yako ona wenzako wanavyoteseka, mshukuru Mungu kwa alivyokuumba na alivyokujaali unatembea utakavyo)
namba zake ni 0658090064
0676743272
0676743272
No comments:
Post a Comment