Wednesday, 20 January 2016
KUTOKANA NA UKOSEFU WA AJIRA AAMUA KUJIAJIRI MWENYEWE BAADA YA KUMALIZA SHAHADA YA BIASHARA
Anaitwa Mussa ni mmoja kati ya vijana walioamua kujiajiri kwa kazi ya kuokota makopo na kuyauza. Amemaliza shahada ya biashara lakini amekaa nyumbani bila ajira kwa miaka 3 na hana mtaji ndipo akaamua kufanya kazi hii .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)














No comments:
Post a Comment