Tuesday, 24 November 2015
MAGUFULI AENDELEA NA MABADILIKO
"Rais Dr. John Pombe Magufuli ameamuru kuwa siku ya Uhuru yaani Tisa Desemba hakutakuwa na shamra shamra zozote watu wote watafanya usafi wa mazingira ili kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu kwa maana hiyo hakutakuwa na sherehe za magwaride ktk uwanja wa uhuru kama ilivyozoeleka" - amesema. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipofanya ziara ktk Hospitali ya Taifa Muhimbili leo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment