Saturday, 31 October 2015
KUTOKA MOYONI KWA MWANADADA WOLPER!
usiruhusu akili ikatawala maisha yako, ruhusu hekima itawale maisha yako, ndicho nilichojifunza kwa my dady lowassa still he z my presdaa, ukimya wangu ulikuwa na maana nzuri tu, ningeongea mapema huenda ningeishia kutukana na kuwachukiza wengi, nawapenda wote even if ww ni ccm, tudumishe upendo na amani ktk maisha yetu ili vizazi vijavyo vipate kujifunza kutoka kwetu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment