Thursday, 10 September 2015

PLUS SIZE DRESSES!


 Wengi wetu tukishakuwa na umbo kubwa basi unakata tamaa kabisa kwa upande wa mavazi, unaona kama hupendezi, hii ni kutokana na kutokubaliana na jinsi ulivyo, utakuta mtu anaumbo kubwa amevaa nguo inambana hata raha hana! jikubali vaa nguo inayokupa nafasi kwanza utapendeza zaidi na huwi kituko machoni mwa watu, na unajimwaga badala ya kujibanabana!















No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!