Saturday, 5 September 2015

CHUPI ZA BATI ZATENGENEZWA KUKINGA WANAUME KUKATWA NYETI ZAO KENYA.


Wanawake kutoka kijiji cha Nyeri nchini Kenya wameshutumiwa kwa kuongoza kufanya vitendo vya kinyama vya  kukata nyeti za wanaume zao. 


kufuatia hali hiyo mfanyabiashara maarufu nchini humo amegundua mbinu ya kuwakinga wanaume wa kijiji hicho kwa kuwatengenezea chupi zilizotengenezwa kwa kutumia mabati, chupi hizo zikiwa na kufuli.

 Amesema ameyafanya hayo kutokana na kukithiri kwa wanaume kukatwa nyeti zao katika kijiji hicho cha Nyeri na kwamba hiyo itasaidia kuwakinga.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!