



Linaitwa ground orchid :Linatoa maua mara moja tu kwa mwaka.Ua lake linadumu kwa miezi 3 mpaka 4.

Linaitwa Bella's Mini Carnation Purple

Hibiscus yellow double,baada ya kusumbua kwa miaka miwili na zaidi,sasa limekaa sawa,limeanza kuchanua ila linashambuliwa sana na wadudu wanaojulikana kama Inzi Weupe.













No comments:
Post a Comment