VIDEO:DAR ES SALAAM VITUO VIPYA VYA MABASI YAENDAYO HARAKA
Ujenzi ulianza zaidi ya miaka miwili iliyopita kujenga barabara za mabasi yaendayo haraka Dar es salaam pamoja na vituo vyake ambapo barabara hiyo itatumika na mabasi hayo tu, tazama video uone walipofikia.
No comments:
Post a Comment