skip to main |
skip to sidebar
UPDATES: POLISI WA MWANGA WAMEZUIA MSAFARA WA MHE.LOWASSA KATIKA KIJIJI CHA MARORO WILAYANI MWANGA
Polisi wa Mwanga wamezuia msafara wa Mhe.Lowassa katika kijiji cha Maroro wilayani Mwanga sasa hivi akiwa ameongozana na Mhe.Mbatia, Mhe Ndesamburo na Mhe. Augustino Mrema waakti ukielekea msibani kwa madai kuwa wanaosindikiza msibani ni wengi sana.
CHANZO. PAMOJA BLOG
No comments:
Post a Comment