ZARI ATUMA SALAMU ZA BIRTHDAY KWA MAMA MZAA CHEMA!
"Allow me to be among the 1st ones to wish my Mother-in-law a happy birthday. Let's send our bday wishes to @rahdh_one Love u mummy and may God bless you abundantl" -Zari wrote on this Diamond's mother
TUJIKUMBUSHE YALIYOJIRI BIRTHDAY ZILIZOPITA!
Cake aliyo andaliwa mama Naseeb na mkwe wake Penny
Penny akimlisha cake mama mkwe wake aka Mama Naseed na baada ya tukio hili Diamond Platnumz amefunguka na kuandika yafuatayo kupitia blog yake:"Hadi sasa nashindwa kuelewa lakini ntaelewa tu......ni mapenzi ya dhati juu ya mama yangu mzazi..... Siku ya jana ilikuwa siku njema kwangu na kwenye maisha yangu,ni siku ambayo mama yangu mzazi amezaliwa 7.7....
No comments:
Post a Comment