Thursday, 9 July 2015

WAZIRI WA KAZI ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi 
ya Jamii (NSSF),Eunice Chiume, akitoa maelezo kwa Waziri 
wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka, alipotembelea banda la NSSF
 wakati wa Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa kwenye Viwanja 
vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akitembelea banda la NSSF.
 Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka akisaini kitabu cha wageni 
alipotembelea banda la NSSF. Kulia ni Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume.
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)
 Sadi Shemliwa (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Kiongozi
 Masoko na Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume wakati alipotembelea 
banda la NSSF katika Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. 
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)
 Sadi Shemliwa (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume wakati alipotembelea banda la NSSF 
katika Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya watoto wakipata zawadi za madaftari walipotembelea banda la NSSF.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande akipata maelezo
 kutoka kwa Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Salim Khalfan alipotembelea
 banda la NSSF kujionea shughuli zinazofanywa na shirika hilo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!