Tuesday, 14 July 2015

NIKIWA RAIS WA TANZANIA NITAMFUNGA DR MAGUFULI"-DR SLAA

Dr. Wilbroad Slaa amesema kuwa akiwa Rais wa Tanzania atamfunga Dr. Magufuli kwa sababu alisimamia mchakato wa uuzwaji wa nyumba za Serikali.



-Aliyasema hayo alipohojiwa na kituo kimoja cha Radio

Dr. Slaa akihojiwa na Radio five ya Arusha jioni hii nini maoni yake kuhusu uteuzi wa Magufuli kuwania Urais. 

Ameongelea mengi lakini amesema iwapo UKAWA wakimpa nafasi na Watanzania wakampa kura za kutosha kushinda Urais atamtia Magufuri ndani ili kujibu tuhuma za uuzwaji wa Nyumba kwa bei ya kutupa.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!