Saturday, 11 July 2015
MTOTO WA MIAKA 5 APIGWA NA WENZIE SHULE
Mtoto huyo aliefahamika kwa jina la Avalynn inasemekana alipigwa na wenzie akiwa shuleni, Mama mzazi wa mtoto huy baada ya kumwona mwanae katika hali mbaya alichukua jukumu la kwenda polisi na kufungua kesi na kutaka waliofanya tukio nhilo la kinyama wachukuliwe hatua kali za kisheria.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment