Thursday 2 July 2015

MMH!

Hii post ni kwa wale ambao naona bado wako convince kuwa upinzani kweli kuna watu maaana amabo sio mafisadi and so forth.



Naomba niwaaambie hivi. Hakuna kituuuuuuu… Upinzani all they do is point out the wrongs za CCM. which is always easy to do.Kumtoa mtu kasoro siku zote huwa ni kazi rahisi sana ila sasa kafanye wewe….
Na siku zote huko bungeni ukiona wapinzani na CCM wamechachamaliana ujue ni kitu ambacho hakuna manufaa kwa wao CHADEMA au upinzani its never about the people but about them. Yes hata shut up law wapinzani walikuwa wanaipigania sana maana wao itawahiribia sana kazi yao given kazi yao all day long kazi yao ni kupoint out mabaya ya CCM. Ila sasa wao wamefanya nini cha maana really???
Okay ukitaka kujua hawa wabunge wenu wa upinzani ni bogus kama wa CCM or maybe worse na kwamba ni wanafki wakubwa.
Mbona kwenye swala la posho la wabunge hawakupinga???? Mbona hhuu mswada hao kina Kafulila mliokuwa mnawasifia eti ndo walitoboa mambo ya Escrow mbona hili hawakupinga? mbona kimyaaaa? si vile na wao mgao wameupata. Ule wa Escrow wao hawakupata ndo maana midomo mirefu. Hakuna cha Tundu Lissu wala Mnyika wote ni washenzi kama hao wa CCM tu. Wote wako pale kwa manufaa yako. Na nnawaambia sababu wengine especially vijana mmekuwa wajinga mnawaona opposition  eti kweli wakombozi wenu wangekuwa wakombozi wangepitisha  mswada kama huu jamani? huu si UFISADI huu? HUU si unyonyaji wa wanyonge???? 
Jamani hii ndo kwanza nimeijua juzi mimi eti every 5 yrs kila Mbunge napewa 230 million tsh?
OMG, Mnajua mdomo wangu uko wazi, yani sijaelewa mungu wangu eeeeeeh. Jamani every 5yrs wabunge wanapewa milioni 230 each . Jamani hiyo ni mbali na mishahara yao ya over  9million wanayoipata, no wonder na wasanii nao mwaka huu wote wameamua kwenda bungeni..Jamani hela ya bure Tanzania iko bungeni…..I swear to GOD… 
Jamani hapo tunaongelea kitu kama bilioni 83 every 5 yrs serikali inawapa wabunge…….
83 BILLION JAMANI….. MAANA WAKO 357. JAMANI FIKIRIENI 83 BILLION JAMANI JAMANI. Kweli serikali inawapawa watanzania 357 83 billion every 5 yrs huku watanzania milioni 40 ni maskini wa kutupa? jamani hii ni akili au ni matope????
83 BILLION HAIJAJENGA VIHOSPITALI HATA KUMI NDOGO NDOGO HUKO VIJIJINI?? 83 shule za vijinini haziwekwa madawati zoooote jamani???
83 Billion chuo kikuu cha UDSM hakijawekewa computer za kutosha kila mwanafunzi kuwa na access na computer ??? 83 Billion elimu ya Tanzania haijasonga mbele hata hakua 10….
Kwanini Tanzania kuna wabunge 357 jamani??? WHYYYYYYYY? WHY 357???  Wabunge wa viti maalum ni 102 sawa? tukitoa hao still tuna wabunge 255 why why why??
Kwanini kila mji kusiwe na mbunge mmoja tu ? why wnangawa into little small places matokeo yake wabunge inabidi wajae kibaaaaa jamani???
Naomba mtu anipe logic hiyo, labda nimekosea so naomba kueleweshwa why kusiwe na mbunge wa Arusha nzima, Dar es salaam Nzima, Dodoma nzima, Singida nzima and so forth? why kuna mmbunge wa kawe, mbunge wa kinondondi, mbunge wa Ilala,m Mbunge wa Temeke? ajamni mnamaliza pesa za wananchi nyei watu jamani??? why hiring people we dont even freaking need lakini? tena expensive employees jamani? bora wangekuwa cheep labor they are not haa ndo wanaonyonya pesa za serikali kuliko yani….
Jamani tuwabane CCM kooni…. Tuwabane kooni.. wasituletee mchezo…. Lazma wadrop number ya wabunge haraka sana na wapitishe mswada fastaaaa wa kufuta hii posho ya 250 million… Yes CCM wana nguvu ya kutoa hii kitu maana wao wana wabunge wengi mnooo what they want  can happen. Jamani huu ndo muda wetu elections zikishapita ni tusahau.
SI mnaona hata shut up law wameshatupotezea? si niliwaaambia mie kuwa lile tangazo lao kwenye gazeti ni la kubuy time tu ili elections zipite hawana lolote?MBona kimya sasa hivi?
Na hili la POSHO ZA 250 LAZMA LIFANYIWE KAZI…
Sasa nawaambia hivi mkitaka kujua huko bungeni hakuna mmbunge anaeijali nchi embu tuone kama kuna mtu ataongelea hili huko???? hahahahaa
kila mtu kimyaaaa….
LETS WAKE UP JAMANI WE NEED TO WAKE UP…
MIE MWENYEWE NAPENDA UBUNGE AND MAYBE ONE DAY I WILL RUN BUT HAPANA HUU NI WIZI WA MCHANA KWEUPEEEEEE JAMANI NI UROHO GANI HUU?
Ila tusishangae jamani Raisi mwenyewew eti aliwekewa bajeti ya bilioni 50 kwa ajili ya kusafiri tu ila in 6 months katumia bilioni 150 kusafiri nchi za nje tu….
Jamani nchi ambayo maskini hivi Raisi wa nchi anatumia bilioni 150 in 6 months just to travel jamani???? Is this fair???? Hivi hakuna charges zozote ambazo JK anaweza kuwa charged nazo akimaliza time yake??? Hapana aiseee… too much…. Ndo maana ilimbidi asign huu ushuzi wa kuwapa wabunge all this money maana yeye mwenyewe anatumia vibaya pesa ya nchi kwanini awanyime wenzie???? Tena awanyime watu ambae wanaweza kumchamba huko bungeni.Na aliogopa opposition wataanza kumsema,Na ndo mjue opposition wanafki mbona wamekaa kimya hii issue ya JK kutumia over 150 billion in 6 months? si vile na wao wamepewa? ndo maana nawaambia jamani bado hakijapatikana chama cha Opposition bado sanaa yani…. Hawa wa sasa hivi njaa tupu…Hivi jamani over 150 billion  jamani kweli kijijini hakijavutiwa umeme jamani?yano nimedata na ujinga huu jamani?
DAH THIS IS SAD….
NA MNIFUNGE TU na najua ntauzi some people close  to me au kuambiwa nifute  ila JK is  the worst president Tanzania ever had. THE WORST. Bora hata
mzee rukhsa jamani nawaambie mimi.. Yani the bills  this guy has signed?  kuanzia shut up law, huu mswada wa wabunge and others….Jamaa anaondoka nchi imekwishaaaaaa, Mkapa alimkabidhi nchi ikiwa inakuwaaa balaaaa…..
Dola imepanda balaaaaa, maisha magumuuuuuuu, real estate haishikiki,  Yeye mwenyewe aliwaambiwa wafanyakazii wa serikali waliokwua wanadai mishahara iongezwe kuwa serikali haina  pesa yet ana sign bill ya kipuuzi kama hii jamani kutoka bungeni ya kuwapa watu 357 83 billion every 5 yrs. Yani mie nahisi kama miswada mingine iliyokuwa inatoka bungeni ilikuwa ina sainiwa na Ridhwan na sio Raisi…… Maana ni hurumaaaaa….
CRD:U-TURN

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!