Tuesday 7 July 2015

MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI APATA AJALI JIONI YA LEO

Muonekano wa Chopa hiyo baada ya kuanguka juu ya mti jioni ya leo katika Kijiji cha Leguruki, Wilayani Meru Jijini Arusha.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari.
MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amepata ajali na Chopa baada ya kuanguka juu ya mti jioni ya leo katika Kijiji cha Leguruki, Wilayani Meru Jijini Arusha. Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hiyo, na Mbunge Nassari pamoja na Rubani wake wako Hospitali ya Seriani mkoani Arusha kwa matibabu baada ya kupata majeraha kwenye ajali hiyo.
(CHANZO: MICHUZI BLOG)

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!