Monday, 6 July 2015

MAWAZIRI WA 2 WA ZAMANI WA SERIKALI YA AWAMU YA TATU WAHUKUMIWA JELA AU FAINI MILLIONI 5 MGONJA APONEA CHUPU CHUPU







Name:  basil-yona.jpg
Views: 0
Size:  38.8 KB


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kwenda jela miaka mitatu waliowahi kuwa mawaziri ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni 
Basil Mramba aliyekuwa waziri wa Fedha na Daniel Yona aliyekuwa waziri wa Nishati na Madini kwa matumizi mabaya ya madaraka kuisababishia serikali hasara ya shilingi bilioni 11.7

Hata hivyo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha,Gray Mgonja ameachiwa huru baada ya kukutwa hana hatia.


Chanzo: ITV & Radio One.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!