Monday, 20 July 2015

MAJAMBAZI WALIOTEKA KITUO CHA POLISI STAKI SHARI WATIWA MBARONI NA WATATU KUUWAWA WAKIKIMBIZWA HOSPITALI BAADA YA MAJIBISHANO NA POLISI


 Waandishi wa habari katika Mkutano ulioitishwa na  Kamanda wa Polisi wakanda maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova


 Baadhi ya Bunduki zilizo porwa katika kituo cha Polisi cha Staki Shari Dar es Salaam zikionyeshwa kwa waandishi wa habari Dar es Salaa
 Sehemu ya  Waandishi wa habari
Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina Suleimani Kova akizungumza na waandishi wa habari
 Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina Suleimani Kova akionyesha baadhi ya bunduki zilizoporwa katika kituo cha polisi cha sitaki shari leo
 Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina Suleimani Kova akionyesha, fedha Tsh. Milioni 170, zilizokuwa zimechimbiwa shimo na majambazi hao zikiwemo na bunduki
 Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina Suleimani Kova akionyesha majina ya majambazi hao
 Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina Suleimani Kova akionyesha baadhi ya pikipiki zilizo kuwa zikitumiwa na majambazi hao
Baadhi ya askari na waandishi wakimsikiliza Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina Suleimani Kova alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari

1 comment:

Anonymous said...

aziz bilal02:04


1
Reply

Kazi nzuri sana hiyo police wetu.

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!