Ni kweli nimepitwa na jargons zote za kileo sina tena,nililigundua hilo wakati nilipokuepo huko nyumbani nilipata taabu kuwasiliana na ndugu na jamaa wangu,kweli siku hizi lugha imebadilika sana,ni afadhali uwage unanitupia neno moja moja jipya.Ankal
2 comments:
aziz bilal6:56 AM
1
Reply
Kichuna ndio nini ??
aziz bilal6:46 PM

Post a Comment