Meneja wa Fedha wa Multichoice Tanzania,
Francis Senguji, miongoni mwa wafanyakazi wa kampuni hiyo wakipata futari
akitoa huduma ya chakula kwa watoto yatima
hii ikiwa ni njia mojawapo ya kuwasaidia watoto wanaoishi katika
mazingira magumu.
Vinywaji mbalimbali vikiwa katika meza kwakila mmoja kujihudumia
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice
Tanzania, Barbara Kambogi, akitoa huduma ya chakula ikiwa ni njia mojawapo ya kuwasaidia watoto wanaoishi katika
mazingira magumu.
Baadhi ya Watoto yatima wa kituo cha Al-Madina
wakipata chakula katika futari iliyoandaliwa na kampuni ya Multichoice
Tanzania.
Mhudumu wa Kajeve Catering Tausi Mfinanga, akitowa huduma
Meneja Mkuu
Multichoice Peter Fauel (kulia) na anaye fatia ni Meneja Uendeshaji wa kampuni hiyo Ronald Shelukindo, wakipata futari wakati wa chakula kwa watoto yatima hii ikiwa ni njia mojawapo ya kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
Meneja Masoko Furaha Samalu akijihudumia kinywaji
Meneja wa Fedha wa Multichoice Tanzania,
Francis Senguji akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Kampuni ya
Multichoice Tanzania kwa waliofika na kujumuika nao katika futari
iliyoandaliwa na Kampuni ya Multichoice Tanzania, ambapo Kampuni ya Multichoice wamekuwa wakitowa misaada ya hali na mali kuhakikisha watoto hao wanaishi maisha mazuri, kushoto ni Ustadhi wa watoto hao na madrasa ya akina mama mashaka Salim
Meneja Uhusiano Multichoice Tanzania, Babra Kambogi, akipozi katika picha na mmoja wa watoto hao walioalikwa na Kampuni hiyo kupata Futari (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment