Thursday 2 July 2015

ALLY KIBA NA LUPITA NYONGO KUJA NA PROJECT


Baada ya Kuishi Ughaibuni kwa mda mrefu mshindi wa mshindi wa Filamu ya '12 years Aslave' kwa sasa Lupita Nyong'o yupo Nchini Kenya kama Balozi wa na Kufanya Kampeni za wanyama za 'Wildlif' Ambapo alipokutana na Mwanamuziku kutoka nchini Ali Kiba ambaye naye ni balozi wa 'WildAid' Tanzania.Mbali na kukutana Ali Kiba kwa sasa yupo nchini Kenya kwaajili ya Coke Studio



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!