Tuesday 28 July 2015

AHAMA CHADEMA BAADA YA KUVURUGWA

5

Kada wa chadema ndugu Innocent Peter Kamani akizungumza katika kipindi cha Hello Tanzania Uhuru FM kuwa anarudisha kadi ya Chadema na kuwa mwanaharakati kutokana na chama hicho kuwahadaa wanachama wake  baada ya waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi kujiunga Chadema.
VIA-FULLSHANGWE BLOG

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!