Thursday 18 June 2015

WATOKA MBEYA KUELEKEA DAR KWA BAISKELI

 Hapa wanajiandaa kuanza kushusha Mlima Kitonga

 Wakanunua na Matunda kiasi hapa
 Asubuhi na mapema wanaanza safari leo kushuka mlima Kitonga kwenda Dar
 Lengo kuisaka Mikumi
 Wanafuata Sheria
 Waleeeee.........
 Sasa safari inasongaa zaidi
 Wanapozi kidogo Mataili yapate kaubaridi ...
 Watu wa kutosha wanawashangaa hawa jamaa..

KWA HISANI YA MBEYA YETU

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!