[Mikoa ya Mara, Mwanza, Shinyanga, Geita na Kagera]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
| |
[Mkoa wa Tanga pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, Mvua katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
| |
[Mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro na Pwani]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, Mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
| |
[Mikoa ya Rukwa, Katavi, Mbeya, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi]:
|
Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha joto
|
Kiwango cha chini cha joto
|
Mawio (Saa)
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
21°C
|
16°C
|
12:35
|
12:28
|
D'SALAAM
|
31°C
|
22°C
|
12:30
|
12:11
|
DODOMA
|
27°C
|
16°C
|
12:42
|
12:27
|
KIGOMA
|
30°C
|
19°C
|
01:04
|
12:53
|
MBEYA
|
24°C
|
09°C
|
12:56
|
12:31
|
MWANZA
|
29°C
|
18°C
|
12:47
|
12:43
|
TABORA
|
30°C
|
15°C
|
12:52
|
12:41
|
TANGA |
28°C
|
22°C
|
12:27
|
12:16
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
23°C
|
12:30
|
12:11
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutokaKusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini na Kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumatano: 03/06/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 01/06/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 01/06/2015.
No comments:
Post a Comment