Thursday 18 June 2015

TANZIA: MWANDISHI WA TBC FLORENCY DYAULI AFARIKI DUNIA



  1. ‪Mwandishi wa habari mwandamizi wa Shirika la Utangazaji nchini

    TBC FLORENCY DYAULI amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua.


    FRORENCE DYAULI amefariki dunia majira ya saa kumi alfajiri akiwa amelazwa

    katika hospitali ya RABININSIA MEMORIAL jijini DSM ambako alikuwa akipata

    matibabu.

    Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala Pema.

    Chanzo: Radio One

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!