Saturday 20 June 2015

NOBODY BUT ME-VANESA MDEE ASHIKA NO 1 NDANI YA SOUTH AFRIKA

Vee Money
Good news mtu wangu! Mtu wetu Vanessa Mdee anazidi kufanya vizuri katika chati za radio countdown kwenye baadhi ya nchi za Africa, na leo hit song ya Vanessa MdeeNobody but me aliomshirikisha msanii kutoka South Africa K.O imeshika namba mojakatika countdown ya Africa Boom Box ya Y.Fm radio iliyoko South Africa. 

Vanessa Mdee anatarajia katajwa kutuwakilisha TZ kwenye category ya Best Female Artist katika tuzo za MTV Africa Music Awards 2015 ambazo tutazishuhudia muda si mrefu live kutoka South Africa.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!