Monday, 22 June 2015
MUUAJI WA CHARLESTON DYLANN ROOF AKIWA KORTINI..
Huyu ndiye kijana aliyeua watu tisa na kujeruhi wengine kadhaa wakiwa katika misa kanisani nchini Marekani. yasemekana kabla ya mauaji alitamka kuwa anawachukia weusi na kwamba hapendi kuona weusi wanatawala nchini kwake.
Hapa kwa mara ya kwanza akisikiliza ndugu waliopoteza ndugu na jamaa katika mauaji aliyoyafanya mapema wiki iliyopita.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)













No comments:
Post a Comment