Friday 19 June 2015

MTANZANIA AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA UWANJA WA NDEGE WA MUMBAI INDIA



Mtanzania, Fatma Chambo Basil amekamatwa Uwanja wa ndege wa Mumbai, India akiwa na kilo 74 za Dawa za Kulevya aina ya methaqualone.
-Alikamatwa Jumatano akiwa na Hati ya kusafiria ya Tanzania akijianda kuja Dar es Salaam kupitia Doha, Nchini Qatar.



amekamatwa katika uwanja wa ndege wenye harakati nyingi wa Mumbai

nchini India akiwa na kilo 74 za dawa za kulevya aina ya methaqualone.

Maafisa wa Uhamiaji na wa Usalama walimkamata mwanamke huyo,

Jumatano akiwa na paspoti ya Tanzania akijianda kuja Dar es Salaam

kupitia Doha, baada ya kupatiwa taarifa za kiitelijensia.


  1. Officials intercepted the passenger Chambo Fatma Basil, who travelled from Dar es Salaam

    to Mumbai via Doha using Qatar Airways.

1 comment:

Anonymous said...

aziz bilal 23:54


1

Mbona siku hizi wako kinadada wengi tu wanaojihusisha na hiyo biashara haram,tena huu ni mwezi mtukufu anatutia aibu waislam,tamaa inaua

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!