Mfanyabiashara maarufu wa Madini Jijini Arusha, Mathias Manga amepigwa risasi ya mgongoni na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo akiwa anaelekea nyumbani kwake.
-Amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Selian Arusha.
Hatimaye siasa za Tanzania zachukuwa sura mpya.
Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Mathias Manga, bilionea wa jiji
la Arusha, na Diwani wa Kata ya Mlangarini Arumeru Magharibi (CCM),
amepigwa risasi na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati
akielekea nyumbani.
Imeelezwa kuwa watu hao walifanya jitihada zote lengo ilikuwa ni kumteka
lakini mfanyabiashara huyo alijitetea mpaka akajitoa ndio wakaamua
kumpiga risasi.
Niko nafuatilia kwa karibu kujuwa soon nitawapa updates japo kwa habari
za haraka haraka wanasema kuna siasa ndani yake.
No comments:
Post a Comment