Friday 19 June 2015

HII NI SAWA?



Moja kati ya matukio ya Jeshi la polisi Tanzania ambayo kamwe siwezi kuyasahau!! RAIA anaetakiwa kulindwa, kuheshimiwa utu wake na kupewa haki stahiki zote zinazo mhusu....Leo anapigwa kama mbwa mwitu ndani ya nchi yake mwenyewe. Tayari police walikwisha mkamata huyu mtu, hebu jiulize....kipigo walichokuwa wanapiga na tayari wameshamkamata kilistahili?

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!