Friday 1 May 2015

KATI YA FLOYD MAYWEATHER NA MANNY PACQUIAO NANI KUTOKA KIFUA MBELE?



Mabondia Floyd Mayweather (kushoto) na Manny Pacquiao wakipozi mbele ya waandishi wa habari wakati wakinadiwa kuelekea May 2.3 mpambano wao wa kihistoria ya ngumi za kulipwa utakaowakutanisha ndani ya Ukumbi wa MGM Grand jijini Las Vegas, Marekani.

2 comments:

Anonymous said...

aziz bilal1:33 AM




Floyd Mayweather kifua mbele,mimi ninamuamini sana kijana Floyd,tena kutakuwepo na ushindi wa knockout round ya tisa.

Anonymous said...

MUBARAKHA KIMWELI10:38 AM




Haaaa Mayweather(money) ni shida

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!