Saturday 30 May 2015

MUSTAFA AKACHA RASMI JAMVI LA UKAPERA NA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA

Harusi ya kukata na shoka iliyofungwa siku ya ijumaa tarehe 29 mwezi wa tano, katika maeneo ya makumbusho karibu na kituo cha  mabasi kuelekea kimara.

Maharusi ndani ya pozi mwanana!




Ni siku ya jumamosi mnamo milango ya  saa nane mchana katika hafla ya chakula na kuagwa kwa biharusi rasmi, sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa Russian Culture uliopo maeneo ya sea view karibu na hospitali ya Agha Khan.



 Watu wakijimwaga na kuserebuka!





Waalikwa ndugu  jamaa na marafiki wakiwa ukumbini hapo tayari kusubiri ratiba ya hafla kuanza.








Mambo ya kujisevia, chakula cha kumwaga!




Maharusi wenye nyuso za furaha!

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!