Sunday 24 May 2015

ASANTENI MASHABIKI WANGU-WEMA SEPETU

 Wema sepetu & Martin Kadinda

Msanii mwenye mvuto tanzania na muigizaji bora wa kike anayependwa Wema sepetu ametoa shukrani kwa mashabiki wake alio mpigia kura katika Tuzo Za Watu mpaka kuibuka mshindi anawashukuru sana na kuwa wahakikishia kwa mwaka huu atafanya mambo makubwa zaidi kwa mashabiki wake Alisema wema sepetu the super star.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!