Wednesday, 22 April 2015

RAIA WA MSUMBIJI ALIVYOSHAMBULIWA KATIKA VURUGU ZINZOENDELEA AFRIKA YA KUSINI


Mtu ambaye inasemekana alikwenda nchini ya Afrika kusini kwa matumaini ya kupata maisha mazuri anasadikika kuuawa kikatili sana na kundi la vijana wenye uraia wa chini hiyo huku sababu ikiwa tu anatoka nchini Msumbiji.
Picha mbambali za kuhuzunisha ambazo zilichukuliwa wakati wa tukio hilo zinaonesha kuwa kundi hilo lilikuwa limemzunguka kijana huyo anayejulikana kwa jina la Emmanuel Sithole lilikuwa likimpiga na kumshambulia kwa visu na kurudia rudia tukio hilo katika eneo la mji wa Alexandra nje kidogo ya jiji la Johannesburg.

Lakini tukio la kusikitisha kabisa ni kwamba kijana huyo ambaye alikuwa akivuja damu nyingi sana alijikuta akipoteza maisha kutokana na kukosa huduma ya matibabu, sababu ikiwa ni kituo cha afya kilichokuwa takribani hatua 300 tu kutoka alipopata madhila kijana huyo, kilikuwa kimefungwa kutokana na daktari aliyekuwa anahusika na eneo hilo la matibabu alikuwa pia ni mhamiaji wa nchini humo, hivyo alifunga kwa kuhofia kuuawa na makundi ya vijana waliokuwa wakifanya vitendo hivyo..
Madaktari walijaribu kadiri wawezavyo kumtibu kijana huyo lakini ilishindikana kutokana na kisu alichokuwa amechomwa kilikuwa kimejeruhi moja kwa moja eneo la moyo na kusababisha kidonda kikubwa sana.


Emmanuel Sithole akiwa amelala chini huku amejuruhiwa vibaya, wakati huo huo idadi ya vijana waliokuwa wakimfanyia ukatili huo wakiwa wanaongeza na wengine wakiwa na visu kwa ajili ya kumchoma Emmanuel.
Tukio hili lilishuhudiwa na mwandishi wa gazeti la Sunday Times la nchini Afrika Kusini wakati alipokuwa jirani na eneo la tukio akiwahoji baadhi ya wamiliki wa maduka ambao ni raia wa kigeni  wakati wakafanya utaratibu wa kuhamisha bidhaa zao ili kuepukana na adha hiyo.
Brave: Before the man had the chance to use the large knife, a witness intervened and the three attackers fled the scene
During the subsequent journey to hospital, Mr Sithole's condition deteriorated as he screamed in agony before eventually falling unconscious
South Africa has one of the biggest economies in Africa and it is unclear whether any boycott would have a significant impact. 
Immigrants from Asia and the Middle East have also been affected by the violence in South Africa.
Sandra Ngwanya, a chicken seller from Zimbabwe who also left her Alexandra home for the Gift of the Givers camp, said her neighbors told her: ''We are going to go door to door, taking your stuff and beating you. So we want you to go back to your country.''
Ngwanya, who has lived in South Africa since 2006 and married a South African, said she left her two young children with cousins and hoped to go home soon.
'They are saying it's quiet. The police are all over the place. I want to go and check on our stuff,' said Ngwanya, whose husband works in a mine outside Johannesburg and planned to return to check on his family.
However, some people at the camp said the situation remained volatile.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!