Polisi wakichukua mabaki ya miili ya marehemu hao baada ya kuchomwa moto.
Wakiteketea kwa moto
Watuhumiwa hao wakiwa hoi kwa kipigo kabla ya kuchomwa moto hadi kufa.
Wakiendelea kupokea kichapo kutoka kwa wananchi.
Wananchi walioamua kujichukulia sheria mkononi, wamewaua watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni wezi kwa kuwachoma moto mpaka kufa huko Mwika wilaya ya Moshi vijijini Mkoani Kilimanjaro
Tukio hilo limetokea jana majira ya saa 6 mchana ambapo pia wameichoma moto pikipiki waliyokuwa wakiitumia watuhumiwa hao (ambao wamechomwa moto hadi kufa)
Kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka eneo la tukio bado hakuna mtu anayeshikiliwa kwa kuhusika na mauaji hayo
CREDT EDDY BLOG





















1 comment:
aziz bilal21:48
Hii haikubaliki kabisa mimi naamini sisi watanzania ni sawa na interahamwe wale waliofanya mauaji ya watusi 1994,kwanini tunapenda kuuana namna hii hata bila ya kumuogopa mwenyezi mungu.Sheria zipo na watu wa usalama wapo na mahakama na jela zipo,lakini tunapendelea sana kuua kwanza bila ya kujali vitu vyote hivyo.Sisi ni wahutu nini?.Peace.
Post a Comment