Thursday 9 April 2015

AJALI NYINGINE BASI LA HAPPY NATIONAL DAR-MBEYA LATUMBUKIA KWENYE MFEREJI..


Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya basi la Happy Nation lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mbeya kupata ajali na kutumbukia kwenye mfereji katika eneo la Mikumi mkoani Morogoro.

chanzo-EATV
TUTAENDELEA KUKULETEA HABARI KAMILI PUNDE TUTAKAPOZIPATA.....

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!