Monday 2 March 2015

YAMOTO BAND WALIVYOKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAO JIJINI LONDEN UINGEREZA

Vijana wa Yamoto Band siku ya 21 February 2015 waliweka Historia katika jiji la London wakiwa ni watanzania wa kwanza kufanya Live show kwenye ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na mamia ya wakaazi wa Jiji la London na vitongoji vyake. video hapo chini ni Kionjo tuu cha mambo yalivyokuwa.

1 comment:

Anonymous said...

MUBARAKHA KIMWELI11:01


1
Reply

Duuu kweli walifunika hongera zao

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!