Bi Harusi mtarajiwa Asna Muazini akiwa katika pozi na tabasam katika Hafla yakuagwa kwake (SEND OFF) iliyofanyika hivi punde katika ukumbi wa DDC Keko jijini Dar es Salaam
Bi Harusi mtarajiwa Asna Muazini akiwa na wapembe wake katika pozi wakati wa Hafla yakuagwa (SEND OFF) iliyofanyika hivi punde katika ukumbi wa DDC Keko Dar es Salaam, kushoto ni Wardat Saidi Juma anaye somea Uwandishi wa Habari huko Zanzibar maeneo ya Vuga na kulia ni Mwanafunzi wa Shule ya Lumumba Zanzibar Mwanahija Suleimani Yusufu.
Bi Harusi mtarajiwa Asna Muazini akiwa na mpambe wake ambaye babo Mwanafunzi wa Shule ya Lumumba Zanzibar Mwanahija Suleiman Yussufu.
Bi Harusi mtarajiwa Asna Muazini akiwa na Mwanachuo Wardat Saidi Juma anaye somea Uwandishi wa Habari huko Zanzibar maeneo ya Vuga (kushoto).
Bi Harusi mtarajiwa Asna, akiwa na wapambe wake wakipeleka Keki kwa wazazi wake
Bi Harusi mtarajiwa Asna, akijianda kuwakadidhi Keki wazazi wake
Bi Harusi mtarajiwa Asna, akimkabidhi Keki mama mzazi Shemsa Mbwambo (wa tatu kushoto) na tukianzia wakwanza kulia ni Shangazi wa Biharusi Mtarajiwa Asna, Salama Twaha amaye ni mjasiliamali na anaye fata ni Baba Mdogo wa Bi Harusi Mtarajiwa Asna, Muharami Juma mjasiliamali
Bi Harusi mtarajiwa Asna (kulia), akiwakabidhi wazazi wa Bwana Harusi (wakwanza kushoto) Sifa Mabenda anaye fatia ni Wakili wa Kujitegemea Saidi Azizi.
Bi Harusi mtarajiwa Asna, akimkabidhi Keki Katibu wa Kamati ya Hafla yake Nesaa Mwome , akiwa na baadhi ya wanakamati hiyo iliyoandaa Hafla hiyo yake.
Mshehereshaji MC akiibariki Keki hiyo
Bi Harusi mtarajiwa Asna, akiwa katika Picha ya Pamoja na wanakamati waliyo fanikisha Hafla hiyo
Mama wa Bwana Harusi Mtarajiwa Sifa Mabenda aliyevaa kiremba rangi ya Zambarau akiwa na ndugu na jamaa wakicheza katika Hafla hiyo iliyofanyi hivi punde katika ukumbi wa DDC Keko Dar es Salaam
Wana familia wakicheza mduara
Baadhi ya Wanafamilia wakicheza
Nisehemu ya ndugu na jamaa wakiwa katika Hafla ya kumuaga Mtoto wao Bi Harusi mtarajiwa Asna, watatu kushoto ni Mama mzazi wa Biharusi Mtarajiwa
Baadhi ya Wanafamilia wakichezawakiongozwa na katibu wa Hafla hiyo Nesaa Mwome iliyomalizika hivi punde.(PICHA NA KHMISI MUSSA) Mmiliki wa ujijirahaa Blog.
No comments:
Post a Comment