Wednesday 25 March 2015

MAMBO MAKUU YANAYOHARIBU FIGO YAKO:





Figo ni kiungo nyeti inayosaidia kuchuja na kutoa taka/sumu/uchafu mwilini. 




Ugonjwa wa figo ni tatizo kubwa na mbaya zaidi gharama ya kumhudumia mgonjwa wa figo alofikia hatua ya kusafishwa damu'dialysis'ni mkubwa ambapo kwa wastani ni dola 900 kwa wiki maisha yako yote na kubadili figo ni wastani wa dola 20,000 mbali na matibabu mengine baada ya kubadilisha figo na kuepuka haya zingatia yafuatayo:


 1-matumizi ovyo ya dawa za maumivu kwani hudhoofisha uwezo wa ini. 

2-adui namba moja ni kutokunywa maji ya kutosha kwani figo hukosa uwezo wa kusafisha damu na kutoa sumu nje kwa njia ya mkojo,jasho na haja kubwa na ili ifanye kazi vema lazima mwili iwe na maji ya kutosha.

 3:kubana mkojo kwani unapohisi mkojo ni kuwa mwili imekusanya sumu tayari kutolewa.unapochelewa hunyonywa na kurudi tena mwilini. 

4:uvutaji sigara. 

5:ulaji chumvi nyingi kwani huongeza utendaji wa figo usiowalazima.


 6-unywaji kahawa kwani ina caffein inayochochea

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!