Thursday 12 February 2015

WAHAMIAJI 300 WAMEKUFA MAJI KATIKA BAHARI YA MEDITERRANEAN

Wahamiaji 9 walionusurika katika ajali ya boti mbili ziliyozama katika bahari ya Mediterranean, wamewasili katika bandari ya kisiwa cha Lampedusa, Jumatano Februari 11 mwaka 2015..
Wahamiaji 9 walionusurika katika ajali ya boti mbili ziliyozama katika bahari ya Mediterranean, wamewasili katika bandari ya kisiwa cha Lampedusa.
Wahamiaji 300 kutoka Afrika wamekufa maji katika bahari ya Mediterranean, baada ya boti mbili walizokuwemo kuzama maji, Jumatano Februari 1, huku tisa miongoni mwao wakiwa wamenusurika.


Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa mataifa linalowahudumia wakimbizi, UNHCR, watu zaidi ya 300 wanasadikiwa kuwa wamekufa maji, iwapo zitaongezwa ajali mbili zilizotokea hivi karibuni. Manusura wameingia katika kisiwa cha Italia cha Lampedusa

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!