Monday 9 February 2015

WAFUASI WA SHEIKH PONDA WASWALI BARABARANI WAKATI KESI IKIENDELEA MKOANI MORO





Wafuasi wa Sheikh Ponda wakiswali sala ya saa 7 leo mchana kwenye barabara iliyo nje ya Mahakama ya Hakimu Mfawidhi wa Mkoa wa Morogoro.
Wafuasi hao waliamua kuswali katika eneo hilo wakati wakisubiri kesi ya kiongozi wao huyo ambayo ilikuwa ikiendelea katika mahakama hiyo.
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro wakati Sheikh Ponda anakamatwa, Faustine Shilogile leo alifika kutoa ushahidi wake katika mahakama hiyo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!