Saturday 14 February 2015

MUNGU IBARIKI TANZANIA! HII NINI TENA ?VIDEO;Majigambo ya Vijana wa Tanga (Magaidi) Baada ya Mapigano na Kuwapora Polisi Silaha leo

1 comment:

Anonymous said...

aziz bilal03:24


1
Svara

Subhanaallah,hawa vijana wanatisha sana na hili ndio tatizo la serikali yetu kuwaachia vijana wanakuwa bila ajira na future zao hazijulikani ,haya ndiyo matokeo ya serikali kuwatelekeza vijana bila ya kuwa na mkakati maalum kuhusu vijana wa leo na matokeo yake ndio haya yanayoaanza jitokeza,Allah tunusuru na janga ka hilo

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!