Saturday 21 February 2015

MKUTANO WA BIASHARA MOROGORO NA MBEYA LEO SAA TISA MCHANA NYOTE MNAKARIBISHWA


Habari za Asubuhi
Je wewe ni Mfanyakazi Serikalini au Binafsi, Mfanyabiashara, Mstaafu, Mstaafu Mtarajiwa, Mama wa Nyumbani, Mwanafunzi, nk ?

#Mkazi wa #MOROGORO au #MBEYA au una ndugu, jamaa, na marafiki mikoa hii miwili wafikishie habari hii muhimu.

*Je kipato chako kinakutosha?
*Je unapenda kukuza uchumi wako kwa kuwa Mfanyabiashara wa Kimataifa kwa kutumia muda wako wa ziada bila kuacha kazi yako unayofanya sasa?

*Bado Hujachelewa wakati ni sasa. *Anza mwaka 2015 na malengo makubwa kupitia hii fursa ya biashara!!



Napenda kuchukua nafasi hii kukualika karibu sana ungane na kundi la wafanyabiashara wa kimataifa ambao muda wao wa ziada wanautumia katika kuuwekeza kufanya biashara na  kutengeneza kipato cha ziada na pia
utajifunza toka kwa watu waliofanikiwa katika biashara hii toka nchini.

#Mbeya!  #Mbeya!  #Mbeya!  #Mbeya!
Kutakuwa na BUSINESS OPPORTUNITY MEETING. Jumamosi tarehe 21/2/2015 Muda: saa 9.00 mchana
Ukumbi: MBEYA HOTEL
Wageni Bure (hakuna kiingilio)
Wenyeji Elfu tano tu (5000/=)
Alika ndugu, jamaa, na marafiki waje wajifunze.
Mbeya lazima inyeshe ☔☔☔🏃🏃🏃🏃
NYOTE MNAKARIBISHWA.

Tuwasiliane 0783 149 561 WhatsApp au Sms au Inbox kwa maelekezo zaidi.

***¤¤¤¤ $$$ %%%$$$ *****¤¤¤¤***

#MOROGORO! #MOROGORO!
Kutakuwa na Big Event (BUSINESS OPPORTUNITY MEETING)
Jumamosi tarehe 21-2-2015
Muda. saa 9:00 alasiri
Mahali: TOPLIFE HOTEL
Kiingilio Tsh. 5,000 tu.
*Cards zitakuwa available leo saa 10 jioni.
Guest speaker atakuwa, Manager Godson from Moshi na Senior manager Jane Meella from Dsm, na Mrs. Kimaro from Dsm. *Hii si ya kukosa ukiikosa fahamu umejiangusha mwenyewe. *Wajulishe na wengine waje kujifunza pia.
Cheki na 0714-206089 #Robert
0713-213713 #Paschal kupata Cards.
Moro lazima Inyeshe ☔☔☔🏃🏃🏃🏃
NYOTE MNAKARIBISHWA.

Tuwasiliane 0783 149 561 WhatsApp au Sms au Inbox kwa maelekezo zaidi.

1 comment:

Anonymous said...

hussein ndama09:13


1


asante kwa kutujuza dadake

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!