Monday, 23 February 2015

MKURUGENZI ALEX MSAMA AMWAGA MISAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA, ALAANI MAUAJI YA ALBINO YANAYOENDELEA NCHINI



Alex Msama amelaani mauaji ya Albino na kuiomba serikali kuweka mkazo katika kushughulikia wahalifu wanaofanya ukatili huu na kuua watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), ili kukomesha mauaji hayo hapa nchini ambayo yanalitia aibu taifa2Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Honorata Michael  Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Honorata kilichopo Temeke jijini Dar es salaam.3Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Rashid Mpinda  Katibu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Maunga Centre kilichopo Kinondoni Mosco jijini Dar es Sakaam.4Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Soud Said  Mwakilishi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Ijanzo Zanda orphanage Centre cha jijini Dar es salaam5Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Hadija Mwambungu kutoka kituo cha  kulelea watoto yatima cha Malaika Kids kilichopo Mwananyamala Mwinjuma jijini Dar es salaam.6Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akiakihelezea zaidi kwa waandishi wa habari juu ya misaada hiyo iliyotolewa na kampuni yake kwa vituo hivyo wakati huu wa maandalizi ya tamasha la Pasaka.7Mmoja wa waratibu wa tamasha hilo Bw Hudson Kamoga akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya tamasha la pasaka.8Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akiakiwa amewabeba baadhi ya watoto wa kituo cha Honorata wakati alipowakabidhi msaada wa vyakula mbalimbali.9Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akihojiwa na mwaandishi wa habari wa BBC Bw. Anold Kayanda mara baada ya kukabidhi misaana hiyo ambapo aliiomba serikali kuweka mkazo katika kushughulikia wahalifu wanaoua watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino)ili kukomesha mauaji hayo hapa nchini

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!