Monday 2 February 2015

KAKA WA MAMA BLOG NA WADAU KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM YALIYOFANYIKA MJINI SONGEA

DSC_2233Mtoto Sadiki ambaye alishiriki katika Gwaride la heshima kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya CCM mjini Songea mkoani Ruvuma akikwa katika picha ya pamoja na wadau Haruna Mbeyu aka Meya wa pili kutoka kulia, Abdulaziz Jaad Mwenyekiti wa CCM East London na baadhi ya maofisa wa serikali walioshiriki katika maadhimisho hayo yaliyofana sana yakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete.


DSC_2234Wadau wakipozi kwa picha  leo asubuhi kabla ya kuanza safari yakurejea Dar es salaam.

1 comment:

Anonymous said...



MUBARAKHA KIMWELIYesterday 19:47


1
Reply

Hongera kwa chama tawala kwa kujenga msingi bora ya kimaendeleo.Allah awajalie viongozi wa taifa hili

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!