Tuesday 17 February 2015

HAYAKUHUSU! "MIMBA MY FOOT" WEMA AMKEJELI ZARI

Zari Ajibu Kejeli za Wema Kuhusu Ujauzito Aliyopewa na Diamond!



Mrembo na mjasiliamali kutoka Uganda, Zari Hassan  ameonekana kushangazwa na kitendo cha mwigizaji Wema Sepetu kukejeli ujauzizo alionao ambao amepewa na Diamond ambae alikuwa mpezi wa Wema.
Mbali na watu kadhaa ambao wamejinasibisha mitandao kuwa wao hawayapendi mahusiano ya Zari na Diamond kusambaza mtandaoni picha ya Zari ikiwa na maneno ya kejeli kuhusu mimba aliyonayo, Wema nae alishiriki kuiweka picha hiyo yenye maneno ya kejeli  yanayosomeka ‘Mimba My Foot” kama yanavyosomeka kwenye picha hapo juu. 

1 comment:

Anonymous said...

aziz bilal15:02


1


Kejeli za nini sasa?Diamond umeisha mkosa wengine wamechangamkia tenda,wewe baki kulia tuu.,imetoka hiyo.

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!