Sunday, 22 February 2015

BONANZA LA PSPF FIRST BATCH LAFANA

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Betty Mkwasa, (wapili kushoto), akimkabidhi kombe la ubingwa, nahodha wa timu ya chuo kikuu cha St. Johns cha mjini Dodoma, Msanja Martin, baada ya kuibuka washindi wa kwanza, kwenye bonanza la PSPF lililoandaliwa maalum kwa wanafunzi wa vyuo vikuu mjini Dodoma na kufanyika uwanja wa Jamhuri mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (kulia), akimkabiodhi jezi, kiongozi wa timu ya soka ya St. Johns, Masanja Martin, mwanzoni mwa Bonanzan lililoandaliwa na PSPF kwa wanafunzi wa vyuo vikuu mjini Dodoma na kufabnyika uwanja wa Jamhuri, Ijumaa, Feb 20, 2015. Katika bonanza hilo, michezo mbalimbali, ikiwemo, soka, mpira wa pete, basketball, muziki wa kizazi kipya Bongo Flava na ule wa asili wa Mrisho Mpoto.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (kulia), akimkabiodhi  jezi, kiongozi wa timu ya soka ya Udom East, Kennedy Kisinja, mwanzoni mwa Bonanzan lililoandaliwa na PSPF kwa wanafunzi wa vyuo vikuu mjini Dodoma na kufabnyika uwanja wa Jamhuri, Ijumaa, Feb 20, 2015. Katika bonanza hilo, michezo mbalimbali, ikiwemo, soka, mpira wa pete, basketball, muziki wa kizazi kipya Bongo Flava na ule wa asili wa Mrisho Mpoto, ulihanikiza umati wa watu waliofurika kwenye uwanja huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (kulia), akimkabiodhi  jezi, kiongozi wa timu ya soka ya CBE, Benedict John,  mwanzoni mwa Bonanza lililoandaliwa na PSPF kwa wanafunzi wa vyuo vikuu mjini Dodoma na kufanyika uwanja wa Jamhuri, Ijumaa, Feb 20, 2015. Katika bonanza hilo, michezo mbalimbali, ikiwemo, soka, mpira wa pete, basketball, muziki wa kizazi kipya Bongo Flava na ule wa asili wa Mrisho Mpoto, ulihanikiza umati wa watu waliofurika kwenye uwanja huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (kulia), akimkabiodhi  jezi, kiongozi wa timu ya soka ya UDOM West, Sylivester Dominic,  mwanzoni mwa Bonanzan lililoandaliwa na PSPF kwa wanafunzi wa vyuo vikuu mjini Dodoma na kufanyika uwanja wa Jamhuri, Ijumaa, Feb 20, 2015. Katika bonanza hilo, michezo mbalimbali, ikiwemo, soka, mpira wa pete, basketball, muziki wa kizazi kipya Bongo Flava na ule wa asili wa Mrisho Mpoto, ulihanikiza umati wa watu waliofurika kwenye uwanja huo.
Mkuuwa Wilaya ya Dodoma, Betty Mkwasa, (wapili kulia), akitoa nasaha zake kwa wachezaji wa timu za soka za vyuo vikuu vya UDOM na CBE wakati wa bonanza lililoandaliwa na PSPF  kwa wanafunzi wa vyuo vikuu Dodoma na kufanyika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Februari 20, 2015

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!