Tuesday 17 February 2015

APIGWA VIBAYA NA WANANCHI BAADA YA KUKUTWA AKITENGENEZA MISHIKAKI YA NYAMA YA PAKA JIJINI DAR

Mfanyabiashara aliyekuwa akijishughulisha na biashara ya nyama ya kuchoma huko Temeke kituo cha mabasi jijini Dar, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kugundulika kuwa anatumia nyama ya paka katika kutengeneza mishikaki. 


Kama wasemavyo waswahili za mwizi arobaini kijana huyu alikutwa akiwa busy kuandaa nyama hiyo ya paka kwa kificho ili asigundulike.


Ficky Makame's photo.




Ficky Makame's photo.

1 comment:

Anonymous said...

aziz bilal02:50




Mbona hawa vichaa wanazidi kuongezeka kwa kasi bongo siku hizi?

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!