Monday, 26 January 2015

MWANAMKE AUA WATOTO WAKE WAWILI NA KUWAZIKA NDANI YA NYUMBA YAKE TABORA






Mwanamke mmoja mkoani Tabora, kata ya Chemchem amewaua watoto wake 2 na kuwazika ndani ya nyumba yake.


Mume kamkimbia maisha akayaona magumu akawalisha sumu walivyokufa akaanza kuchimba hilo shimo, kuna jirani alimsikia akichimba lakini akampuuza. Siku ya pili akatangaza kupotelewa na watoto ila yule jirani akaliwekea mashaka na akatoa taarifa polisi kwamba kuna siku alimsikia muhusika kama alikuwa anachimba usiku na siku hiyo aliwaona watoto wake wote wakiingia ndani kwao kwani mara ya mwisho walikuwa kwake wakicheza mpaka giza lilopoingia ndio akawaamuru warudi nyumbani.


1 comment:

Anonymous said...

MUBARAKHA KIMWELI20:13


1


Duu sidhani kama atakuwa mzima wa akili.so jambo la kawaida tena ni mwanamke.Huu ni mwisho wa dunia

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!