Haya ndo maisha ya kumnayanyasa mkeo/mpenzi wako kila wakati yanapoishia! Huyu dada kauliwa leo Morogoro kisa kaenda kusuka bila ruksa ya mumewe!!
These how violence relationshop life ending!!
Utakuta mwanamke anang'ang'ania kukaa na mwanamme anamdunda kama punchbag na ukiuliza kisa, atakwambia nikiachika nitachekwa, nitadharauliwa na blah blah nyingi!! most of the time huu ndo unakuwa mwisho wake! For what?!? Kuna wanaume na wanawake billions njee huko kha!!
VIA-kigoma24hours

1 comment:
aziz bilal00:14
1
Mimi nashindwa kuelewa ,unakuta mtu anajisahau na kumfanyia kitendo kibaya mtu anayelala naye kitanda kimoja usiku,ukatili ka huu ni lazima upigwe vita sana na serikali tunaomba itumie nguvu zake kuzuia vitendo vya kinyama wasifanyiwe wanawake.
Post a Comment