Thursday 18 December 2014

TAASISI YA WANAWAKE NA MAENDELEO (WAMA) YAANDAA MKUTANO WA WATAALAM NA WADAU WA USONJI (AUTISM).‏


Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, Mama Salma Kikwete akimkaribisha kwa mazungumzo Profesa Andy Shih, Makamu wa Rais Mwandamizi kutoka Shirika la Autism Speaks aliyemtembelea Mama Salma ofisini kwake tarehe 17.12.2014.






Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akizungumza na wajumbe wa mkutano maalum ulioandaliwa na Taasisi yake kuhusu tatizo la hapa nchini.


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais Mwandamizi Profesa Andy Shih anayeshughulikia masuala ya sayansi kutoka shirika la Autism Speaks lenye Makao Makuu yake huko New York nchini Marekani. Profesa Shih akifuatana na Dkt. Kra Reagan walimtembelea Rais Kikwete huko Ikulu tarehe 17.12.2014.


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Profesa Andy Shih aliyemtembelea huko Ikulu tarehe 17.12.2014.

PICHA NA JOHN LUKUWI.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!